Karibu sana Kibarazani MOORLAND PREMIER HOTELS LIMITED -Ngara, Kagera Tz.
Karibu sanaKibarazani hapa kwa kinywaji baridiii, nyama
choma, mishikaki, chakula kitamu cha kiasili na kisasa, sambamba na kuliwazwa
na muziki laini upenyao masikioni mwako Ni MOORLAND HOTEL PEKEE NGARA, Kagera Tanzania.
Tupo Barabara ya kwenda Hospitali ya
Murgwanza wilayani Ngara.
Keep the ball rolling you have done the great job here.hotel booking sites
ReplyDeletePlease ca you send me the email of the hotel (Moorand Premier Hotel)?
ReplyDelete